Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mjengo wa Navy Kenzo uliogharimu Tsh Milioni 700 kukamilika Disemba

TANGAZO 1


Msanii wa Kundi la muziki la Navy Kenzo, Nahreel amesema ujenzi wa nyumba yao inayogharimu zaidi milioni 700 unatarajiwa kukamilika mwezi Disemba mwaka huu.


Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Nahreel amesema anashangaa kuona watu hawaamini kama pesa zote za ujenzi wa nyumba hiyo zimepatikana kwenye muziki.
“Watu kuongea ni kawaida lakini mwisho wa siku sisi tunajua pesa zote zimepatikana kwenye muziki, karibu asilimia 97 ni muziki, kwa hiyo hivyo ni vitu vya kawaisa,” alisema Nahreel. “Na Mungu akipenda Disemba mjengo utakuwa umekamilika na kila kitu kinaenda sawa mpaka sasa,”
Pia Nahreel amewataka mashabiki wa muziki wao kukaa mkao wa kula kwa ajili ya video mpya ambayo tayari wameshoot Afrika Kusini.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top