TANGAZO 1
Je, ukubwa wa uume ni
jambo la muhimu? Ni nini ukubwa wa uume mkubwa na Je wanaume wengi
wana uume mkubwa? Haya ni baadhi ya maswali ambayo huzunguka katika
baadhi ya akili za watu wengi. Kwa baadhi ya watu, uume mkubwa humfanya
mtu kujiamini zaidi na kuongeza uwezo wa kumtosheleza mpenzi wake.
Jinsi ya kupima uume:
Kwa uume uliosimama
kipimo ni kutoka chini ya uume unapokutana na mwili mpaka kwenye ncha
ya uume. Kwa ya uume teke (uliolala) , pima mara tu baada ya kuvua
nguo kwa sababu ya tofauti ya joto ni rahisi kupotosha majibu ya
kipimo. Usifanye maamuzi kutokana na uume teke.
Kamwe usilinganishe
urefu wa uume teke na urefu wa uume uliosimama, kwa sababu wakati
fulani uume teke unaweza kuwa mkubwa na mrefu kuliko uume uliosimama na
hata kinyume chake.
Ukubwa wa uume unategemea:
Kiwango cha ukubwa wa
uume kinategemea na kiwango cha mhemuko, muda wa siku, joto la kawaida,
mara ngapi unafanya tendo la ndoa , na uhakika wa kipimo.
Hakuna takwimu za urefu wa uume kwa vijana kwa sababu watu hukua kwa viwango tofauti.
Kwa watu wazima, wastani
wa ukubwa wa uume uliosimama ni kati ya 14-16cm (5.5-6.3 inch).
Wastani wa upana kwa uume uliosimama ni 12-13cm (4.7-5.1 inch). Wastani
wa uume teke unaweza kuwa kati ya 3.5-3.9 inchi. Uume unachukuliwa
kuwa mdogo (micropenis) iwapo uko chini ya inchi 3.
Uzoefu katika mapenzi
Badala ya kupima ukubwa
wa uume wako, jaribu kutafuta G-spot,kumchezea mpenzi katika maeneo
yanayosisimua. Kumchezea mwanamke ni muhimu ili aweze kufikia kileleni.
Endelea kuwa nasi kupitia Tazama Line kioo cha jamii.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
1 comments:
This blog is without a doubt awesome and informative. idn poker online I have picked up helluva handy advices out of this amazing blog. I ad love to come back over and over again. Thanks!
ReplyPost a Comment