Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

STAA WASTARA AJITABIRIA KIFO CHAKE...MSIKIE HAPA LIVE

TANGAZO 1
Wastara Juma.
OOOH! Zikiwa zimepita siku chache tangu staa wa filamu Bongo, Wastara Juma kunusurika kifo baada ya kudaiwa kunywa sumu na baadaye kupata ajali, anadaiwa kusumbuliwa na roho wa kifo.

Kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Wastara aliweka picha za wasanii mbalimbali huku akimwelezea kila mmoja alivyo na mwishoni mwa maelezo hayo alimalizia kwa kusema kuwa ameamua kusema kabla hajafa kwani kifo hakiko mbali.

00Baadhi ya mastaa aliowaelezea ni Tamrina Poshi ‘Amanda’, Denis Swea ‘Dino’, Jacob Steven ‘JB’, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, Halima Yahya ‘Davina’, Riyama Ally, Salma Jabu ‘Nisha’.

Wengine ni Cloud, Lamata, Bondi, Msafiri Kondo na wengineo ambapo baada ya kumuelezea kila mmoja, chini alikuwa akiandika ujumbe huu:
“Sababu ya kufanya hivi, sisi ni binadamu na kifo hakiko mbali, naweza nikafa kabla sijasema lolote kwa watu wangu.”

WASTARA ANASEMAJE?
“Niliandika maneno hayo ili wasanii wote waliowahi kunitendea wema wajue kwamba wao ni watu muhimu sana katika maisha yangu, wapo wengi lakini sikuweza kuwashukuru wote kwa sababu wakati naandika hivyo nilikuwa kwenye hali mbaya sana.

“Unajua siku moja nitakufa maana kifo kiko karibu sana hivyo watakumbuka maneno yangu hayo niliyoandika ya kuwashukuru,” alisema Wastara.

Baada ya kuwaelezea kwa kuwaandikia waraka huo, mashabiki mbalimbali waliopo kwenye mtandao huo walionekana kusikitishwa na maneno hayo na kujikuta wakimuuliza maswali yasiyokuwa na majibu kwa wakati huo huku wengine wakidai kuwa Wastara anasumbuliwa na roho wa kifoTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top