Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Namuonea hurama Diva, namwombea kwa Mungu amrudishie akili zake! – Ruby

TANGAZO 1
Baada ya mtangazaji wa Clouds FM, Diva kudai kwamba hamjui msanii wa muziki Ruby, Ruby ameendelea kutema cheche kuhusiana na kauli hiyo.


Muimbaji huyo ambaye ameachana na uongozi wake wa zamani wa THT, ameonyesha kuchukizwa na kauli hiyo ya Diva ambapo kila akiulizwa kuhusu kauli hiyo amekuwa akitoa maneno makali.
“Kuhusu Diva, bora tu niachane naye maana sioni vitu vya kumuongelea kama anavyofanya yeye,” Ruby aliliambia gazeti la Mtanzania “Zaidi namuonea huruma tu, namsikitikia na ninamwombea kwa Mungu amrudishie akili zake. Nahisi ana ugonjwa wa kusahau, jambo ambalo ni baya sana kulingana na umri wake,”
Pia muimbaji huyo amesema kwa sasa amefunga ukurasa wa kuzungumzia masuala ya uongozi wake uliopita huku akidai kwa sasa ana nafasi ya kufanya vizuri zaidi kimuziki akiwa mwenyewe.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top