TANGAZO 1
M/kiti
wa Chadema wilayani Temeke Bernad Mwakyembe akizungumza na waandishi wa
habari wamesema Chadema imechukua hatua hiyo baada ya kudai kufanya
Uchunguzi wa kina na kupata Uthibitisho Usiotia Shaka dhidi ya tuhuma
zinazomkabili diwani huyo huku pia ikiwaonya madiwani wake na wenyeviti
wa serikali za mitaa kuwatumikia wananchi na sio kushiriki katika
Vitendo vya Dhulma na Ubadhilifu.
Baaadhi
ya wananchi walipatwa na kadhia ya kuvunjiwa nyumba zao lakini pia
kutapeliwa kwa kuuzwa maeneo yao,pamoja na kutengenezewa hati bandia
wanaelezea madhara waliyopata.
Jitihada
za kumpata Diwani wa Mvinjeni ambae anayetuhumiwa hazikuzaa matunda
baada ya kupigiwa simu mara kadhaa na mwandishi wetu bila kupokea,pamoja
na kutumiwa ujumbe mfupi lakini pia Chanel ten ilifika kurasini katika
ofisi ya serikali ya mtaa,ambapo pia ilikutana na bw,Steven Kyando
ambaye naye anatuhumiwa na hivi ndivyo alivyojitetea.
Katika
eneo lililofanyika zoezi la kubomoa nyumba hizo ambazo wakazi wake wngi
wamekubali kulipwa fidia ,huku nyumba 42 wakazi wake wakigoma baadhi ya
wananchi hao wamemuomba waziri wa ardhi kuingilia kati ili kupata
stahiki zao kwa madai ya kupatiwa malipo kidogo.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment