TANGAZO 1
Muigizaji Wema Sepetu amewatupia lawama Team Wema kwenye mitandao ya kijamii kwa madai kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yote yanayomkabili.
Malkia huyo wa Filamu Bongo, amedai kuwa hana amani kwenye maisha yake kwa sababu ya Team Wema.
“Sasa mimi naomba kusema kitu kimoja, naomba kuanzia sasa hivi sitaki kuijua team Wema, kwa sababu sielewagi team Wema ilitokea wapi, mimi sijui na sio chanzo cha team Wema na sijui mmetokea wapi mmekuja kuniharibia maisha yangu,” amesikika Wema akilalama.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment