TANGAZO 1

Taarifa iliyotolewa na ofisi hiyo kwa vyombo vya habari imesema kwamba
taarifa hizo kumuhusu Makamu wa Rais ni za uzushi na uongo na kwamba
hazina ukweli wowote.
Taarifa hiyo imeendelea kufafanua kuwa habari hizo ni za uchochezi na kwamba zinalenga kuliweka taifa kwenye taharuki.
Imesema kuwa Mhe. Makamu wa Rais yuko bega kwa bega na Mhe. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kufanya kazi zao kwa mujibu wa
Katiba ya nchi ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Ofisi ya Makamu wa Rais imewataka wananchi na watanzania kwa ujumla
kupuuza taarifa hiyo ambayo ofisi hiyo imeilezea kuwa inalenga kupotosha
umma kuhusu ushirikiano mzuri uliopo baina ya Viongozi hao.
Ofisi hiyo pia imewasihi Watanzania kufanya kazi kwa bidii na wajiepushe
na vitendo vinavyolenga kuvuruga amani na utulivu nchini.
SOMA WARAKA WA SERIKALI HAPO CHINI NIMEKUWEKEA LIVE KABISA,USIJE KUDANGANYIKA.

KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment