Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Linah: Sina Uhusiano wa Kimapenzi na Billnass

TANGAZO 1
Msanii wa muziki, Linah Sanga amekanusha tetesi ambazo zilisambaa katika mitandao ya kijamii kuwa anatoka kimapenzi na rapper Billnas.

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo ‘Raha Jipe Mwenyewe’ hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa Billnas ni mshkaji wake.

“Watu wanatakiwa wajue tu kuwa mimi na BillNas si wapenzi ila sisi ni watu wa karibu sana,” alisema Linah “Saizi mimi na Bill Nas ni washikaji sana maana siri yake ndiyo siri yangu,”

Aliongeza, “Bill Nas ndiye aliyenishauri nibadilike kwenye muziki na kunipa ‘connection’ na ‘Producer’ T Touch, yeye ndiye aliniambia nibadili mfumo mzima wa muziki wangu na ndiyo nikafanya hivyo,
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top