TANGAZO 1
Mwanamuziki
wa Bongo Flava anayesimamiwa na Wasafi, Harmonize, amekanusha kuchunwa
pesa na mpenzi wake Jackline Wolper kutokana na mwanamke huyo kuonekana
kuwa na maisha ya kifahari.
Harmonize
amekanusha hayo mbele ya camera ya eNewz kwa kusema "Nyumbani kwa
Wolper kuna kaunta ambayo anaweza kunywa vinywaji atakavyo, pia sioni
sababu ya mimi kupendeza na mwanamke wangu asipendeleze ni lazima
nitahakikisha anapendeza kwa kuwa ninampenda"
Harmonize pia alizidi kuweka wazi kuwa mapenzi yake na Wolper hayaathiri kitu chochote kwenye kusaidia familia ya kwao kwa kuwa hata kama asingekuwa na Wolper ni lazima angekuwa kwenye mahusiano.
"Siyo kwamba ninatumia pesa nyingi kumridhisha mpenzi wangu na kusahau familia yatu, Mama yangu na ndugu zangu wanapata pesa za matumizi kama kawaida kwa kuwa ninafanya kazi"

KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment