TANGAZO 1
Waziri
wa mambo ya ndani Mh Mwigulu Nchemba August 9, 2016 alifanya ziara
kwenye kambi za wakimbizi za Katumba na Mishamo zilizopo mkoani Katavi.
Baada ya kumaliza ziara hiyo Waziri huyo aliyaongea haya>>>>nimefanya
ukaguzi kwenye kambi ya wakimbizi ya KATUMBA ambako kuna zoezi la
uhakiki wa waliokuwa wakimbizi kutokea kwa majirani zetu Burundi na
baadae tuliamua kuwapa uraia wa Tanzania mwaka 2009′- Mwigulu
‘Zoezi hili la uhakiki linafanyika
ilikuchunguza mienendo yao na uwepo wao kwenye eneo la kambi.Kumekuwepo
nataarifa za baadhi ya ndugu zetu hawa kujihusisha na watu waovu,kufanya
vitendo vya kibaguzi na kutoka nje ya kambi zao na kwenda nchi jirani
bila kibali- Mwigulu
‘Nimewaagiza vyombo vya usalama na
kupitia serikali za mitaa kuwachukulia hatua watu wanaojihusisha na
vitendo hivyo, Tanzania hatua tabia za kibaguzi,moja kati ya sifa kubwa
ya nchi yetu ni kushinda vita dhidi ya ubaguzi wa aina yoyote tangu
tulipopata uhuru’- Mwigulu
‘Natoa rai kwa raia wote tuliowapa
kibali cha kufanya kazi,kuishi na kuwa raia wa nchi yetu, waache
kujihusisha na vitendo viovu na vyakibaguzi.Hatutawavumilia watu ambao
tumewakaribisha kwa nia njema hapa nchini na baadae wahatarishe usalama
na amani yetu’- Mwigulu
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment