Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Kisa mkutano wa CCM Dom… JB, Steve Nyerere vitani

TANGAZO 1
jbJacob Stephen ‘JB’
Na Mwandishi Wetu, RISASI Mchanganyiko
DAR ES SALAAM: Imevuja! Wasanii wawili wa filamu Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wanadaiwa kuingia vitani kwa mara nyingi kufuatiwa kurushiana maneno mjini Dodoma walikoalikwa kwenye mkutano wa CCM.
Chanzo kilichokuwepo mjini humo kimesema Steve ndiye alikuwa mratibu wa wasanii na ndiye aliyejua kila kitu, lakini inadaiwa JB naye alikuwa akiwasiliana na viongozi wengine ambao walimuuliza idadi ya mastaa wanaokwenda huko, ambao mkongwe huyo alijibu kuwa ni watano.
STEVE-NYERERESteven Mengere ‘Steve Nyerere’
“Baada ya JB kujitaja na mastaa wenzake waliandaliwa hoteli nzuri na kwenda kulala huko huku wengine wakilala kwenye apartment jambo lililomuudhi Steve na alipomuuliza JB, walitupiana maneno makali na mpaka sasa hawako vizuri wana bifu zito.
“Mimi na wenzangu tulilala kwenye apartment maana JB aliwataja mastaa kuwa ni yeye mwenyewe, Single Mtambalike ‘Rich’, Vincent Kigosi ‘Ray’, Kajala Masanja na Irene Uwoya ambao walienda kulala kwenye hoteli nzuri na sisi tukalala huko maana Dodoma kulikuwa kumejaa watu kibao,” kilisema chanzo ambacho ni mmoja wa wasanii walioalikwa kwenye mkutano huo.
Risasi Mchanganyiko lilimtafuta Steve lakini simu yake iliita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa maneno hakujibu, wakati JB alipopatikana na kupewa tuhuma hizo alifunguka;
“Hakuna ukweli wowote juu ya madai hayo, mimi na Steve tupo vizuri kabisa. Aliyekuwa akihusika na suala la wasanii ni Steve, mimi nilifika Dodoma jioni kabisa tukakuta vyumba vyetu mimi na Rich, hizo habari zingine ni uzushi wenye lengo la kutugombanisha mimi na Steve.”
Wasanii hao wawili waliwahi kuingia katika bifu miaka michache iliyopita wakati wa msiba wa msanii mwenzao, Adamu Kuambiana.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top