TANGAZO 1
Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO
KUFUATIA Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kumfungia Nay wa Mitego kufanya muziki kutokana na nyimbo zake kukiuka maadili, mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford amempa makavu na kumtaka aache kuimba matusi.
Akipiga stori na Za Motomoto News, Shamsa alisema Nay wa Mitego ni baba mwenye watoto wanaomtegemea, anamuonea huruma lakini ni lazima ajifunze kwa kuacha kuimba nyimbo za matusi, badala yake aimbe za kueli-misha jamii.
“Namu-onea huruma lakini anatakiwa kujifunza kuimba vitu vya kuelimisha jamii, aachane na matusi kwani kila wimbo anaotoa mara nyingi huwa na maneno makali,” alisema Shamsa.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment