TANGAZO 1
MKALI wa filamu za Kibongo anayetikisa kwa sasa, Gabo Zigamba amemnasa Rachel Bithulo ambaye ni msomi mwenye Shahada ya Biashara katika filamu yake mpya na kusema anajua anachokifanya.
Akipiga stori na safu hii, muigizaji huyo mahiri, alisema tasnia ya filamu inaonekana inakufa kwa sababu ya kukosa watu makini, lakini endapo wasomi kama Rachel watajitokeza, wataifanya sanaa ikue na kurejesha heshima inayoonekana kupotea.
“Rachel ni msanii mzuri, ninamtabiria kuja kusumbua sana mbele ya safari. Kitu kinachonifurahisha ni kuwa tofauti na waigizaji wengi wa kike, yule amesoma, ana elimu kubwa tu, kwa hiyo tukiwapata watu kama yeye, watatusaidia kuirudisha tasnia kwenye reli kwa sababu hawaji kwa malengo yao bali kuokoa sanaa,” alisema.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment