TANGAZO 1
Msanii
wa muziki kutoka WCB, Raymond aka RayVanny ameitaja sababu kubwa ya
kuchelewa kwa video ya wimbo wake ‘Natafuta Kiki’ kuwa ni baadhi ya
wasanii aliowataja kwenye wimbo huo kushindwa kuonesha ushirikiano.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Clouds E cha Clouds TV kuwa baadhi ya wasanii aliowataja kwenye wimbo wake ‘Natafuta Kiki’ wamekuwa wagumu kupatikana.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Clouds E cha Clouds TV kuwa baadhi ya wasanii aliowataja kwenye wimbo wake ‘Natafuta Kiki’ wamekuwa wagumu kupatikana.
Aidha
Raymond ameongeza kuwa menejimenti yake ilimleta director kutoka nje
lakini baada ya baadhi ya wasanii kushindwa kuonesha ushirikiano
wakamruhusu kurudi kwao kwanza.
Kutokana
na mashabiki wengi kuwa na hamu ya kuiona video ya wimbo huo, Raymond
ameachia video ya wimbo huo ikiwa ni Guitar Version. Hata hivyo Raymond
amedai video hiyo itafanyika japo hajataja itachukuwa muda gani.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment