TANGAZO 1
Aliyekuwa
meneja wa PKP ya Ommy Dimpoz, Mubenga, amesema hafanyi tena kazi na
muimbaji huyo wa wimbo ‘Achia Boby’ huku akiweka wazi mpango wa
kuanzisha label yake mpya.Mubenga ambaye alifanya kazi kwa muda mrefu na Ommy Dimpoz amekiambia kipindi cha Enewz cha EATV kuwa ameakua kuachana na PKP ili afanye mambo yake mengine.
Mubenga amesema “Mimi NILIKUWA nafanya kazi na kuchukua asilimia flani tu Pkp ila kwa sasa nina movement yangu kwenye kazi zangu hizi hizi, bado hatujaanza kuachia kazi ila tutatangaza soon” Mubenga amekuwa meneja wa kazi za sanaa za msanii Ommy Dimpoz na Nedy Music kwa muda mrefu.
“Kwa sasa najipanga ili kuja na kampuni yangu ambayo itaitwa Bangerz Entertainment ambayo itakuwa inahusika na maswala yote ya burudani, hivyo wadau wangu waelewe kwamba kwa sasa sifanyi kazi tena na pozi kwa pozi” alisema Mubenga
Hata hivyo Mubenga hakuweka wazi sababu iliyopelekea yeye kuachana na PKP huku akisisitiza kuwa anarudi katika kazi zake alizokuwa akizifanya kabla ya kuungana na pozi kwa pozi.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment