TANGAZO 1
Usiku wa July 26 2016 eneo la Kariakoo Kamata Dar es Salaam iliripotiwa kutokea ajali ya basi la UDA lenye namba za usajili T 696 CVP linalofanya safari zake kati ya Mbagala na Kariakoo limegongana na treni, taarifa za awali zinataja kuwa watu zaidi ya 40 wamejeruhiwa na mmoja kupoteza maisha.
Ajali hiyo ambayo imetokea nyakati za usiku, majeruhi wamepelekwa hospitali ya taifa ya Muhimbili, millardayo.com ilifika eneo ilipotokea ajali hiyo na bado inaendelea kufuatilia taarifa zaidi kwa kamanda wa polisi wa Ilala na itakuletea habari kamili.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment