TANGAZO 1
Jamani nina tatizo nipeni mawazo yenu,
Mwezi Novemba mwaka jana nilikutana na binti mmoja. Alitokea kunipenda
ghafla lakini mimi sikuwa na mawazo hata. Nilivyoona ananisumbua na sms
zisizokoma nikaamua nile mzigo ila tulitumia kinga mwanzo mpaka mwisho.
Basi tukaachana hatukukutana tena mpaka leo. Mwezi huu wa tatu mwanzoni
akanipigia na kuniambia ana mimba yangu. Nikashangaa, nilischofanya ni
kumhoji akagoma akasema kwa vyovyote itakuwa yangu. Nikamwambia mbona
hukuniambia tangu Novemba mpaka leo ni miezi mitano, akasema alikuwa
anatafuta nafasi aniambie akawa anakosa chance. Nikajua ananizuga au
anataka kunibambika. Nikamwambia ok, kama ni hivyo ilee hiyo mimba
utakapojifungua niko tayari tukapime DNA uwe tayari kupokea majibu, kama
siyo yangu ujue ntakachokufanyia nitajua mwenyewe. Akasema sawa. Wiki
hii amenipigia simu kuwa mimba imeharibika anataka nimpe hela kwa sababu
anaumwa na anataka akasafishe. Pia anataka hela ya matumizi mara
ananiambia mambo ya huko kwao. Agenda sasa imebadilika kutaka hela.
Sasa kinachonishangaza ananiambia mambo short cut, hakuna maelezo. Hivi
si kashapoteza ushahidi, na mimi sitaki anavyonisumbua, nifanyeje?
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment