TANGAZO 1
Kuna wanaume wengi wamekuwa wakikosea kutongoza.Wapo wengine labda amempenda binti fulani lakini anashindwa cha kufanya.Kuna wakati unaweza kukuta mwanaume anachokifanya anampa ofa mwanamke,mara anamwambia tukale na hata zawadi nyingine zinafuata.
Jambo lililo la msingi katika maisha yetu ni kuwa wazi,mtu aelewe nini hasa unachokitaka moyoni mwako si zaidi.
Wapo
ambao wanaogopa watu labda ni kwa sababu ni wazuri au wamesoma zaidi
yao,lakini mapenzi ni zaidi ya hayo,unaweza kuona mtu kweli anaonekana
yuko matawi ya juu jina tu,mapenzi hayana matawi ya juu wala ya chini
Ndo
maana unaweza kuona mama mtu mzima na heshima zake anajisalimisha kwa
kijana mdogo,au unaweza kuona mwanaume mtu mzima na hekima zake anafanya
ngona na mfanyakazi wa ndani,huenda akawa mchafu au hata
si wa kutamanisha kivile.
Mapenzi
ni suala pana,unaweza kujiremba ukifikiri ndo njia ya kumtamanisha
mwanaume,wapo wanaume wanachokipenda sio mwanamke ajirembe.
Unaweza kuvaa kimini na nguo yenye kuonyesha sehemu kubwa ya mwili wazi,wapo wanaume wenye kuchukia hilo.
Unaweza
kuvaa suruali ukifikiri ndio chaguo la wanaume,wapo ambao hawataki
kusikia mwanamke anayevaa suruali.Ninachotaka kusema ni kwamba watu
wametofautiana kwa namna ya mahitaji yao.
HATUA MUHIMU UNAPOFIKIRIA KUTONGOZA:
Jambo
la kwanza lililo la msingi ni kufahamu anachokipeanda yule unayetaka
kuanza kumfuatilia.Je ni mwenye kupenda hali gani,yuko makini au hayuko
makini
Furaha ya wanawake wengi ni kuwa na mwanaume ambaye anajiamini.
HATUA ZINGINE:
a)
Mguse bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha,mwambie du
umependeza;kama uko kwenye mazingira ambayo yanawezekana,Inashauriwa
kumgusa kama unataka kuuliza jambo fulani,Hili ni jambo la msingi kwani
kitaalamu linachangia kumjua mtu tabia yake na anavyoweza kukuchukulia
katika mambo mengine unayotaka kuyasema.
b)
Wanaume wengi wanakosea kwa kuomba namba za simu,lakini kitaalamu njia
inayokubalika ni wewe mwanaume kumpa namba yako huyo mwanamke ambaye
unafikiria kuanzisha mawasiliano nae kwa lengo kwamba mwisho wa siku awe
mkeo.Au wakati mwingine unaweza kumpa simu yako ili aandike namba yake.
c)
Kama mnaweza kupata muda,mkaribishe sehemu kwa ajili ya kuongea
zaidi.Mara nyingi usianzishe mazungumzo ya kumwambia mtu nataka
kuoa,hata kabla hamjakaa na kusomana hata kama kwa sekunde kadhaa.Ni
aibu kuambiwa sikutaki au nina mwingine,lakini ukianza kwa
vitendo,unaweza kujua kama hapa kuna dalili au kuachana na kile
unachotaka kukisema.
Hata
katika maisha ni vizuri kuwa mwangalifu kabla ya kuamua kumtongoza
fulani na kukubaliana na fulani,pata muda wa kumchunguza kwani safari ya
ndoa ni ndefu,inahitaji kuwa na mtu ambaye kweli atakufaa..
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment