TANGAZO 1
Mimi ni msichana mwenye umri wa
miaka 28, cjaolewa ila nimebahatika kupata mtoto mmoja ambaye tangu amezaliwa
ckuwahi kuishi na baba yake na kumlea inshort, tulishaachana
Siku tuliyokutana alinipokea
vzuri na kuomba msamaha sana kwa sbb aligundua kuwa amenikatisha tamaa na ckuwa
najisikia vzuri, katika mazungumzo yetu nikamuuliza swali moja tu una mpango
gani ss na huyo dada, akanijib hawezi ishi nae ktk maisha yake,jibu lake lilinipa amani tukarudiana,.
Baadae nilibahatika kumpata
kijana mwingine ambaye tulipendana sana Nilijisikia furaha sana kuwa nae
matokeo yake bila mm kujua kumbe alikuwa na mahusiano mengine na mwanamke
ambaye alimpa ujauzito na baadae kujifungua ambapo mm nilipokuja kujua na
niliumia sana, ckuumia kwa sbb ya yy kupata mtoto niliumia kwa sbb alinificha
hakuwa mkweli kwangu.
Kadri siku zilivyozid kwenda
nikaona anaanza kubadilika nikimpigia hapokei, msg hajib kumbe yule dada
alishahamia kwake nilipojarib kumuuliza akasema ndio kwani ni dhambi yy kukaa
na mwanae ? niliumia sana nikasema ngoja niachane nae na siitaji kuwasiliana
nae awe free na familia yake, juzi nimebadili cm ambayo naitumia nikaona
ananzaa kunisumbua na kuomba msamaha kuwa anataka kuendelea na mm, na c mara
moja kwa kuhesabu ni zaidi hata ya mara ishirini anaomba msamaha, nimekuwa
cimuelewi kwa sbb kama anaishi na mtu iweje aendelee kuomba msamaha na
anasubutu kusema hawezi kbs kuishi bila mm kwa yale niliyomfanyia na
nilivyokuwa namjali na kumyenyekea, ameona mm ni mwanamke ambaye alikuwa
naniitaji ktk maisha yake, naomba ushauri hv huyu kijana anamaanisha au ni
msanii tu, ingawa bado nampenda ila nimekuwa muoga sana.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment