TANGAZO 1
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mpinduzi (UVCCM) mkoani
Arusha amezuiwa kuingia ofisini leo asubuhi na baadhi ya makada wa chama
hicho kufuatia tuhuma zinazomkabili za kughushi nyaraka za Usalama wa
Taifa na kufanyia utapeli.Makada wa chama hicho walifunga ofisi hizo mapema leo alfajiri wakisema kuwa mwenyekiti huyo, Lengai Ole Sabaya hana hadhi tena ya kuwa mwenyekiti wa umoja huo mkoani Arusha baada ya kughushi nyaraka za Idara ya Usalama wa Taifa kufanya utapeli.
Lengai Ole Sabaya, Mwenyekiti wa UVCCM Arusha.
Baadhi ya makada ambao ni watiifu kwa mwenyekiti huyo wameonekana
wakimsaidia aweze kuingia ofisini wakijitahidi kuwaondoa waliokuwa
wakimzuia bila mafanikio.Tazama video hapa chini ya mvutano ulivyokuwa.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment