Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Barakah Da Prince Akiri Kimombo Kwake Bado ni Tatizo, Aanza Mpango wa Kutafuta Mwalimu

TANGAZO 1
Msanii wa muziki Barakah Da Prince amekiri kuwa lugha ya Kiingereza kwake ni tatizo huku akiweka wazi mpango wa kutafuta mwalimu wa kumfundisha.

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo ‘Nisamehe’ hivi karibuni akiwa amemshirikisha AliKiba, amesema katika interview yake kubwa iliyopita na MTV aliomba kutumia lugha ya Kiswahili kwa kuwa ndio lugha ambayo anaweza kuizungumza
“Niliulizwa kwenye interview ya MTV kama naweza kuongea Kiingereza, nilichowajibu naweza ila sio Kiingereza kilichonyooka ndio maana nikatumia Kiswahili. Nafurahi kwa kuwa walivutiwa na Kiswahili,” Barakah alikiambia kipindi cha Uhondo cha EFM Jumanne hii.

Pia muimbaji huyo amesema mpenzi wake wa sasa Naj ameshindwa kumfundisha huku akiweka wazi mpango wa kutafuta mwalimu.

“Hanifundishi lugha kwa sababu tuna masihala mengi hivyo nahitaji mtu ambaye atakuwa serious,” alisema Barakah.

Diamond ni miongoni kati ya wasanii ambao walikuwa hawajui kuongea lugha ya Kiingereza lakini alijifunza na sasa anakichapa kama kawaida.

Bongo5TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top