TANGAZO 1
Tomboy
ni nani? Tomboy ni mwanamke anaependa sana mambo ya kiume, wengine
wanawaita majike dume, kitu kimoja ambacho wanaume wengi hawajui sio
kila mwanamke anaependa kujitupia pamba za kiume au anapenda kufanya
mambo Fulani ya kiume ni msagaji. Wapo ambao wameamua kufanya hiyo
staili yao ya maisha, wapo ambao wanajiona wabaya na wanadhani hawawezi
kupendwa na mwanaume yoyote, wapo ambao waliumizwa kwenye mapenzi na
wanajaribu kujiweka kiume ili wasipate tena wapenzi.
Hawa
mnaowaita madume jike pia ni wanawake na wanahisia kama wanawake
wengine, wanapenda kama wanawake wengine ila kwa sababu wanajiweka kama
wanaume inakuwa vigumu kumtamkia mwanamme kama wanampenda na
kutokujiamini, wengine wanajiona sio wanawake kamili. Na nina amini
wanaume wanamchango mkubwa kuwabadilisha wanawake wa aina hii kuwa kama
wanawake wengine bila kutumia nguvu. Kuna faida kadhaa kutoka na
mwanamke wa aina hii.
Sio Mwanamke wa kioo kila mara;
Wanawake
wa aina hii hawapendi kujiremba sana, kwahiyo hutoboreka wakati wa
kutoka nae akipiga tshirt na jeans maisha yanaenda, hatokusumbua
kutengeneza nywele wengi wao wanapenda kukata nywele au kuweka dreads
hautokuwa na gharama za kumpeleka saluni.Sio wanawake wa kupandika kucha
wala kope wanaweka kila kitu simple.
Hutomkuta kwenye Vigenge vya Umbea;
Wanawake
wa aina hii huwa hawana marafiki wengi wa kike, hawapendi umbea umbea
na kupiga soga kijinga, kwahiyo hawezi kuwa na mashoga wa kijinga wanao
shauriana ujinga na mambo yasiyo ya maana.
Waaminifu;
Sio
wanawake wanaofwatwa na wanaume wengi,kwahiyo mwanaume ambae
atajitokeza kwake na kumpenda huwa anampa mapenzi yake yote na kama
unajua mapenzi na kumjali na kumuonyesha mapenzi ya dhati kabisa basi
utashangaa,wanawake wa aina hii ni wepesi kubadilika na kuwa kama
wanawake wengine watavaa nguo za kike na kuwa kama wanawake wengine ili
uzidi kuvutiwa nao.
Mtafanya Mambo mengi pamoja;
kwa
kuwa anapenda mambo mengi ya kiume mtajikuta mnaangalia mpira pamoja
mnacheza game za Tv pamoja na kunywa mkitoka pamoja na washikaji na hii
itawafanya muwe wapenzi ambao pia ni marafiki, kitu ambacho wapenzi
wengi hawana. Kuwa na mpenzi ambae pia unaweza kumchukulia kama rafiki
ni kitu kinachowafanya wapenzi muwe kama mapacha inaongeza chachu ya
mapenzi yenu.
Hawana Drama za kijinga;
Wanawake
wa aina hii, hawapendi drama nadhani mnawajua Drama Queen hao ni
wanawake wanapenda kufeki mambo, kitu kidogo wanajidai kupanick,
kujizimisha na kujitia presha lakini Tomboy ukifanya kitu atakuambia na
hawajui kuigiza wako real, na ni wanawake waelewa kuliko wanawake
wengine wanaojivalia kidada.
-Rabiadamary (mmasaimfupi)
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment