TANGAZO 1
Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiiana Kutoka mbegu za kiume muda mfupi baada ya kumwingilia mwanamke huitwa pre*mature ejac*ulation.
Huu ni udhaifu wa kawaida kwa wanaume walio wengi kwa ujumla wake, ikiwa ni pamoja na vijana.
Mtaalamu aitwaye Ira Sharlip anasema katika utafiti wake kuwa, ni kiasi
cha asilimia 20 hadi 30 ya wanaume wa rika zote ambao wana matatizo
haya.
Njia za kitabibu za
kuweza kumtambua mtu mwenye udhaifu huu inaitwa Intravaginal
ejaculatory*cy time (IELT). Hata hivyo,mtaalamu Ira Sharlip anaongeza
kwa kusema kwamba, utaratibu huu hausaidii sana kumjua mtu
mwenye premature ejaculation.
Kuna wanaume ambao wanamaliza katika dakika moja tu baada ya kumwingilia mwanamke na wao hudai kwamba,hawana matatizo.
Na halafu upande mwingine, kuna wanaume ambao wanaweza kuchukua dakika
20 bila kutoa mbegu baada ya kumwingilia mwanamke. Hawa nao ni
wagonjwa, kwani muda huo ni mkubwa kuliko wastani. Kwa maana nyingine
ni kwamba, maana ya neno premature, zaidi zaidi liko katika mtazamo
wa mhusika mwenyewe. Inategemea na mtu mwenyewe anavyotosheka kimapenzi
na uwezo wake wa kujidhibiti muda wa kumaliza unapokuwa umewadia.
Utafiti
wa mwaka 2010 katika jarida la Journal of Sexua*l Medicine
uliona kwamba, kipimo kizuri cha premature ejaculation ni dakika
5.4. Yaani mtu akitoa mbegu baada ya dakika pungufu ya hizo, tangu amwingilie mwanamke basi ana ugonjwa huu wa premature ejaculation.
Lakini
Ian Kerner anasema kipimo ni dakika mbili. Yaani mwanaume akimaliza
haja yake kabla ya dakika mbili, basi ana ugonjwa huo. Anaongeza kwamba,
watu wengi anaokabiliana nao ni wale ambao wanatumia muda mfupi chini
ya dakika mbili kumaliza haja zao.
Wengine
hutumia sekunde 30 tu! Pia hata sababu za nje zinaweza kuchangia
kumfanya mwanaume akawa na tatizo hili. Mtu mwenye mawazo mengi ni
rahisi kukumbwa na tatizo hili. Mtu mwenye mawazo mengi anamaliza haraka
mara baada ya kumwingilia mwanamke, kwa mujibu wa mtaalamu Kerner.
Lakini kumaliza kwa namna hii pia kuna uzuri wake kwamba, tumejaza dunia kwa kuwa na watu wengi. Kama watu wangekuwa
wanachukua saa nzima kumaliza baada ya kumwingilia mwanamke, dunia ingekuwa na uadimu wa watu!
wanachukua saa nzima kumaliza baada ya kumwingilia mwanamke, dunia ingekuwa na uadimu wa watu!
Washauri nasaha wanaojihusisha na ushauri wa kimapenzi
na matibabu wanatoa tiba mbalimbali kwa ajili ya watu wenye wasiwasi;
wasiwasi ambao huwafanya wawe haraka sana baada ya kumwingilia mwanamke.
Kuna
dawa ambayo mgonjwa akipewa zinamsaidia kurefusha muda wa kuendelea na
tendo, baada ya kumwingilia mwanamke. Dawa hizo ni kama zile za
kupooza msongo wa mawazo.
Pia kuna mazoezi ambayo yanashauriwa kufanywa. Mazoezi haya humsaidia mtu kujenga upya mkabala wa namna anavyochukulia tendo.
Lakini
pia njia iliyo rahisi zaidi ili kutokuwa mwepesi wa kumaliza haraka ni
kujizoeza kuacha kulifikiria tendo hilo la ngono unapokaribia kufikia
kileleni (kwa kufanya pole pole zaidi au kufikiria mambo mengine ya nje
kama ya mpira, mfano Yanga na Simba au Manchester na Chelsea).
Jenga
mazoea kufanya namna hiyo. Ukizoea itakuwa ni kama kitu cha kawaida kwa
kujikaza kisabuni na kuhakikisha unamsubiri mwenzio ili mwende pamoja
kileleni.
Kila kitu ni kujifunza. Ukijizoeza kujikakamua
bila kumaliza hata katika hali ya hamu ya juu kwa kumsubiri mpenzi
wako, tatizo la premature ejaculation litakuwa limethibitiwa.
By Utamu Kweli
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment