TANGAZO 1
Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata RC Paul Makonda na kuyaongea haya>>>>Hili
suala mimi nimelisikia moja aliyetoa maelezo anasema nina umbea maana
yake kwanza ni mmbea, Serikali haijawahi kufanya kazi kwa namna hii na
wala hakuna maelekezo ya namna hiyo’
‘Lakini
la pili kufahamu ambalo ni jambo jema ni kwamba kabla ya kufanya
maamuzi ya kuandika habari au kutangaza habari ni vema pia ukaonana na
mamlaka husika anasema Polisi maana yake lazima kamanda Sirro aulizwe na
atoe taarifa Je ni kweli kuna taarifa kama hizo’
‘Ukweli
ni kwamba hakuna maelekezo ya namna hiyo, wapo watu wanatoka maeneo
mbalimbali wanakuja Dar es Salaam katika nyumba za wageni kupumzika,
wapo watu wanaingia usiku wa manene na ndio maana kukawa na nyumba za
wageni ‘
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment