TANGAZO 1
Trouble in paradise? Kwa tetesi zinazozidi kuvuma kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uhusiano wa couple yenye nguvu zaidi Afrika Mashariki, Diamond na Zari, jibu linaweza kuwa ndiyo!Lakini huenda tetesi hizo zikaendelea kuishia tu Instagram kwasababu wawili hao hawaoneshi dalili za kuyapoteza mahaba mazito kati yao.
Zari alithibitisha kupitia Snapchat kuwa yeye na mpenzi wake, hitmaker wa Kidogo, Diamond wanatarajia mtoto wa pili – wa kiume, lakini tetesi za usaliti zimeendelea kuwawinda kila kukicha.
Ni katika chumba hicho pia staa huyo alikitumia akiwa na Zari.
Picha hiyo imesababisha mjadala mkubwa wikiendi yote, huku baadhi ya mashabiki wakimshambulia Hamisa kwa kile wanachoamini anaweza kuwa sababu kubwa ya kusababisha mtafaruku katika uhusiano huo, wengine wakimuonea huruma Zari kuwa kama yasemwayo ni kweli basi hatendewi haki na mpenzi na wengine wakimshambulia Diamond kwa kuhisi anamkosea heshima mwanamke ambaye si tu amemzalia mtoto mrembo wa kike, Tiffah, bali pia yu mbioni kumbariki kwa mtoto mwingine wa kiume.
Hata hivyo mambo yako tofauti kwa Zari ambaye post zake za Instagram na Snapchat zinatuma ujumbe mwingine – positive vibes only. Kwenye moja ya post za Snapchat, staa huyo wa Uganda anaonekana akiwa kwenye mgahawa wa kifahari huku akiionesha pete ya thamani kwenye kidole chake cha chanda.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment