TANGAZO 1
Kuna
tabia ambayo baadhi ya wanaume wamekuwa waki wa lalamikia wasichana
kuwa hawana mapenzi ya Kweli wanapenda pesa tu,sasa minawapa dawa
wanaume wenzangu ya kufanya wanapokataliwa na wanawake kwa sababu ya
kipato chao kidogo,mwanamke akikuka taa kwa sababu huna pesa,usilalamike
wala kusononeka,unachotakiwa kufanya tafuta pesa kwa nguvu zako
zote"focus "kwenye malengo yako ya mafanikio mpaka ufanikiwe na wwe siku
ukifanikiwa ukiwa tajiri,wanawake maskini wakikushobokea wakijifanya
wanakupenda usiwakubalie na kamwe usikubali tena kuwa na mahusiano ya
kimapenzi na mwanamke maskini au mwanamke njaa wao si walikukataa
ulipokuwa huna kitu,na ukioa oa mwanamke tajiri usioe mwanamke maskini
wasije wakakurudisha nyuma kwa sababu wanawake wengi wanaopenda wanaume
matajiri hawajui "struggling" wanapenda short cut na hawana vision zao
binafsi za kufanikiwa zaidi ya kutegemea wanaume ndio wawatoe kimaisha.Fanya kama alivyofanya Diamond Platinumz alipokuwa hana kitu wanawake wazuri walimkwepa kama ukoma alipozipatatu akawa gumzo kwa wasichana mjini,kila msichana anajifanya anampenda Diamond Platinumz, alipokuwa hana kitu mbona walimtenga,ila nimemsifu amechukua mwanamke tajiri tena kutoka nchi za nje, Zari the boss lady,na wewe ukizipata oa hata mtoto wa Obama, kwanza ukifanikiwa ukawa tajiri usioe kabisa mwanamke maskini wanawake wengine wana mikosi utafilisika bure,na Rudi kwa wasichana wanaopenda wanaume matajiri na kuwapiga chini wanaume wenye kipato cha chini.
Kama wewe ni msichana unapenda wanaume matajiri na kushauri tu uache hizo tamaa zako kwa sababu kwanza unatakiwa ujue wanaume matajiri wapo wa chache kwa hiyo sio rahisi kuwapata wakakuoa ni bora ukomae tu na maskini wenzio ipo siku mnaweza mkatoka, pili asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa walikuwa na wapenzi wao Tangu zamani, kuna usemi unasema "kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke shupavu" kwa hiyo wwe kama msichana sio rahisi kuwapata wanaume matajiri wakakuoa labda wakutumie tu kama chombo cha starehe,na choku washauri komaeni na maskini wenzenu mtatoka tu shida zina mwisho wake mkiji tuma.
Note: no short cut to process.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment