TANGAZO 1
Tuesday , 30th Aug , 2016
Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania TCRA imewataka wananchi kuwa makini na matumizi ya mitandao
kwani sheria ya uhalifu wa mitandao ya mwaka 2015 ipo na inafanya kazi
yake.
“Ni vyema wananchi wakatambua kwamba uchochezi kwenye mitandao kwa kusambaza ujumbe wenye viashiria vya uvunjifu wa amani au kuweka picha zisizofaa kwenye mitandao sheria ipo wazi na watu watajikuta wanaishia pabaya, hivyo ni vyema kuchukua tahadhari mapema” Amesema Victoria
Kwa upande wake Mkuu wa itengo watumiaji wa mitandao Isack Mruma amesema TCRA wanaendelea na kampeni mpya ya kuelimisha wananchi kuhusu matumizi sahihi ya mitandao, kampeni ambayo itadumu kwa miezi mitatu.
Aidha Mruma amewataka wananchi kuacha kuanzisha tovuti zenye majina ya uongo kwa lengo la kuchochea au kuchafua watu wengine kwani , TCRA ina uwezo wa kuwabaini wote na kufikishwa kwenye vyombo vya sheriaTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment