Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HII NDO KAULI YA LOWASSA BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI JANA USIKU

TANGAZO 1


Aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa ambaye ni mjumbe wa Halmashauri kuu ya CHADEMA, amesema kitendo cha kukamatwa na Jeshi la Polisi yeye na viongozi wenzie wakati wakifanya mkutano jana, kimemuimarisha na kumpa nguvu zaidi za kudai Demokrasia.
Katika waraka wake alioutoa kwa Waandishi Mapema leo, Lowassa amedai anafurahishwa na jinsi wanachama wa chama hicho wanavyowaunga Mkono.
Jana jioni baadhi ya viongozi wa CHADEMA walikamatwa na Polisi kwa kosa la kukaidi amri ya kutokufanya vikao vya ndani wala nje ya vyama vya siasa hadi hapo muongozo mwengine wa kiusalama utakapotolewaTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top