TANGAZO 1
Kumekuwa na tetesi nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii kwamba huenda
nyota wa muziki wa bongo fleva,Diamond Platnumz anam ‘cheat’ mpenzi wake
Zari the boss lady kutokana na mpenzi wake huyo mwenyeji wa Uganda
kutokwepo nchini mara kwa mara.
Akijibu Swali aliloulizwa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East
Africa,Diamond alikana tuhuma za kumsaliti mpenzi wake huyo ambaye
tayari ameshazaa naye mtoto mmoja,Latifah.Kuhusu mpenzi wake kutokuwepo
nchini mara kwa mara Diamond amesema kwake ni kama bahati kwani
imemfanya akutane naye kila mara akienda Afrika Kusini ambapo kuna
makazi ya mpenzi wake.
“Mimi
sijawahi kum cheat zari,unajua kila kitu mwenyezi Mungu anapanga
usikute sijapangiwa bado.Unajua mimi na Zari tunaonana mara kwa mara kwa
sababu ninasafiri sana,huwa nawaambia watu huenda zari angekuwa
Tanzania asingekuwa anapata muda na mimi kwa sababu mimi naenda south
mara nyingi kwa shughuli za kikazi kwa hiyo hata angekuwa Tanzania mambo
yangekuwa yale yale.” alifunguka Diamond ambaye hivi karibuni kumwekuwa na uvumi kuwa anatoka kimapenzi na Hamisa Mobeto.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment