TANGAZO 1
Msanii nyota wa bongo fleva,Nassib Abdul maarufu kama Diamond amefunguka
na kusema kwamba bifu zinaweza kusaidia kukuza muziki kama zitatumika
vizuri.
Diamond aliongea hayo kwenye mahojiano yake na kipindi cha Planet Bongo
cha East Afrika na kusema kuwa beef husaidia kutengeneza ‘attention’ na
hivyo kusaidia tasnia ya muziki kukua vizuri akitolea mfano muziki wa
hip hpo wa marekani ulivyokua kutokana na bifu za 2 Pac na Biggie na
bifu ya Jay z na Nas na kuongeza kuwa hata watanzania walimfahamu sana
WizKid baada ya bifu yake na Davido
“Wakati
mwingine haya masuala ya bifu hayana madhara kwa sababu yanasaidia kwa
namna nyingine kupenya,kwa hiyo ni namna ya kuangalia tu sisi wenyewe
tufanye namna gani hili bifu lisiingie kwenye familia na watu wengine
tukaanza kulogana,lakini kwenye muziki liwepo ili kutengeneza attention
zaidi Afrika,watu waangalie kuna nini,inasaidia industry kukua haraka” alisema Diamond na kusisitiza kuwa bifu hizo zisivuke mpaka kwenye maisha ya kawaidaTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment