TANGAZO 1
MATUKIO ya uvunjifu wa maadili kwenye shule mbalimbali hapa nchini
yameendelea kushamiri baada ya wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi
Lulanzi wilayani Kibaha mkoani Pwani kutuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa
darasa la pili na kumsababishia maumivu yaliyopelekea kulazwa Hospitali
ya Tumbi kwa matibabu.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jana babu wa mtoto huyo, Jacob
Mrope alisema tukio hilo lilitokea March 27 saa 6 mchana ambapo mjukuu
wake ambaye ni yatima alikuwa akitoka shuleni huku akiwa na wenzake
wawili wakike, walikimbizwa na watuhumiwa hao ambapo yeye alishindwa
kukimbia kutokana na kuumia mguu na kujikuta akibakwa.
Mrope alisema kuwa wanafunzi wenzake aliokuwa nao walisema kuwa baada ya
watuhumiwa hao kumkamata walimziba mdomo kisha wakaanza kumuingilia kwa
zamu ambapo mwanafunzi huyo hakuweza kupata msaada wowote hadi
watuhumiwa hao kutimiza haja zao.
"Wenzake waliokuwa nao walitoa taarifa nyumbani kwa mlezi wake ambaye ni
dada yake ambapo alikwenda na kumkuta akitokwa na damu nyingi na
alipomuuliza alisema kuwa wenzake wamembaka ndipo alimchukua na
kumpeleka shuleni kutoa taarifa," alisema Mrope.
Kwa upande wake dada yake Lwiza alisema kuwa yeye alipata taarifa
kupitia kwa wanafunzi hao ambao alikuwa nao wakati wanatoka shule na
kukimbizwa na watuhumiwa hao, ambapo walisema kuwa ilibidi warudi na
kumkuta mwenzao akitokwa damu, wamkokota mwenzao hadi nyumba iliyojirani
na kumjulisha.
"Alikuwa kwenye hali mbaya kwani alikuwa akitokwa na damu nyingi na
nilipomuuliza alisema kuwa amebakwa na mtuhumiwa ambaye alimtambua na
kumtaja jina mwenye umri wa miaka 10 akiwa na wenzake watatu," alisema
Lwiza.
Lwiza alisema kuwa baada ya kuona hali ile walimpeleka shule na uongozi
wa shule ukamwelekeza kufuata taratibu za kisheria ambapo walikwenda
Serikali ya mtaa kisha kwenda polisi na baadaye Hospitali ya Tumbi kwa
matibabu zaidi ambapo hadi juzi mwanafunzi huyo alikuwa bado kalazwa na
hali yake inasemekana kuwa ni mbaya.
Naye Mwalimu mkuu wa shule hiyo ya Lulanzi, Anna Bilali alisema kuwa wao
kama uongozi wa shule hawawezi kusema lolote kwani suala hilo liko
kwenye vyombo vya sheria pamoja na kitabibu na watakuwa tayari kusema
mara taarifa zitakapokamilika.
"Ni kweli tukio hili limetokea lakini bado haijathibitishwa kama ni
kweli au la na pia lilitokea nje ya shule na muda wa shule kwa wanafunzi
wa madarasa ya chini walisharuhusiwa kurudi nyumbani mara baada ya
masomo kwisha," alisema Bilali.
Akizungumzia tukio hilo mjumbe wa mtaa wa Lulanzi, Rasul Shaban alisema
kuwa walipata taarifa hiyo na kushangazwa na kitendo hicho ambapo tukio
hilo ni la mara ya kwanza kutokea katika shule hiyo ambayo iko kwenye
mtaa huo na pia walitoa barua za kuwadhamini wanafunzi wanaotuhumiwa
kufanya tukio hilo.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoani Pwani
Ulrich Matei alisema kuwa hadi sasa wanawashikilia wanafunzi wanne wenye
umri kati ya miaka 10 na 13 kuhusiana na tukio hilo
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment