TANGAZO 1
Nina
tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na
nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu
naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli kwasababu
usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha
nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado
anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani
mwenzenu.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment