TANGAZO 1
Siku
chache zilizopita, staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma alikiri na
kufunguka kuwa ni mama kijacho baada ya kunasa ujauzito lakini taarifa
za kusikitisha zilizolifikia gazeti hili mapema wiki hii zimedai kwamba,
mimba hiyo imechoropoka katika mazingira ambayo yalitaka kuutoa uhai
wake.
Chanzo
makini ambacho ni ndugu wa mwigizaji huyo kilichoomba hifadhi ya jina
kilidai kuwa, kweli Wastara alikuwa na mimba lakini haikuwa riziki kwani
imechoropoka katika mazingira ya ajabu.
“Baada
ya kuzinguana na Sadifa (Khamis Juma) Wastara aliamua kuchukua hamsini
zake. Baadaye aligundua amenasa na tulipomuuliza alisema si ya mtu
mwingine zaidi ya mumewe Sadifa.
“Sasa,
hivi karibuni alikwenda Msumbiji kufanya biashara zake za madini. Akiwa
kule, akajiwa na hali f’lani mbaya ambayo ilimuweka kwenye wakati mgumu
sana.
“Alichodai
ni kwamba mimba imemsumbua sana na nusura imuue, tukamuuliza ameamua
kuitoa au imetoka yenyewe? Hakutujibu chochote,” alisema mtoa habari
huyo na kuongeza:
“Siku
chache baadaye alinitumia SMS na kuniambia anamshukuru Mungu anaendelea
vizuri. Hata alipotua Bongo, sikumsikia tena akizungumzia habari ya
mimba na hata kwa kumuangalia tu ilionesha kwamba imechoropoka.
IJUMAA LAMSAKA WASTARA
Baada ya kunasa ubuyu huo, Jumatatu iliyopita, Ijumaa lilifanya jitihada za kumsaka Wastara kupitia simu yake ya kiganjani lakini mara kadhaa ilikuwa ikiita bila kupokelewa.
Siku iliyofuatia paparazi wetu alimpigia tena. Pia haikupokelewa na baadaye msanii huyo akatuma SMS aliyoandika ‘tuma meseji’.
Ijumaa: Mimi
ni Mwandishi wa Ijumaa, naitwa (mwandishi anajitambulisha), kuna habari
kuwa mimba yako ambayo ilikuwa inadaiwa ni ya aliyekuwa mumeo imetoka,
kuna ukweli wowote?
Wastara: Nani kawaletea hizo habari?
Ijumaa: Ni vyazo vyetu, tukaona ni busara kukuuliza wewe ili kupata ukweli.
Wastara: Jamani niseme tu kwamba napitia kipindi kigumu sana kwa hiyo naomba uniache.
Ijumaa: Kipindi gani kigumu? Au ndiyo kutokana na mimba hiyo kuchoropoka?
Wastara: Hujui niko kwenye hali gani, kwa hiyo niache, muda wa kulizungumzia hilo ukifika nitasema.
Chanzo: GPL
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment