TANGAZO 1
HABARI NZITO ASUBUHI HII: HII SASA NI NOUMA HAKIKA HII NDIO ILE CHADEMA YA 2010 WASHAINGAZA DUNIA KWA TUKIO HILI....
DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), amesema chama chake kimejipanga kutekeleza mpango wa ujenzi
wa ofisi za chama kuanzia ngazi ya taifa mpaka katika majimbo, kwa
kushirikiana na wanachama wake, anaandika Charles William.
Akizungumza mapema leo na MwanaHALISI online kwa njia ya simu, Dk. Mashinji amesema mpango huo utatekelezwa kama ilivyoagizwa na Baraza Kuu la chama hicho.
“Baraza Kuu la Chadema liliagiza viongozi wa majimbo na wilaya waanze
kuchukua hatua za awali ili kutekeleza mpango wa ujenzi wa ofisi za
chama, sisi tutawaunga mkono kama tulivyoanza kufanya katika Wilaya ya
Mkuranga, Mkoa wa Pwani,” amesema.
Dk. Mashinji na Waziri Mkuu Mstaafu, Federick Sumaye ambaye pia ni
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, walifanya ziara ya kufungua matawi ya
chama hicho wilayani Mkuranga siku ya jana huku pia wakiendesha harambee
ya kukusanya fedha za ujenzi wa ofisi.
Jumla ya Sh. 12 milioni zilipatikana katika harambee hiyo ili
kufanikisha ujenzi wa ofisi za Chadema Wilaya ya Mkuranga. Dk. Mashinji
amesema zoezi hilo litaendelea katika mikoa na majimbo yote na kwamba
viongozi wa majimbo waanze kuchukua hatua za awali.
“Sisi hatuna rasilimali za kutosha kuweza kujenga ofisi katika majimbo,
wilaya na mikoa yote ndani ya muda mfupi, lakini tuna mtaji wa watu
wanaokipenda chama hiki, kwahiyo tutautumia mtaji huo kuhakikisha
tunajenga ofisi za chama katika maeneo mbalimbali,” amesema.
Kuhusu ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Dk. Mashinji amesema kuwa, chama hicho kimejiwekea mpango wa kujenga ofisi hizo pia.
“Tumejipanga kwa ujenzi wa Makao Makuu pia, tunaamini mambo yataenda
vyema na tutatekeleza mikakati tuliyojiwekea, ndiyo maana tunaomba
viongozi na wanachama wetu katika ngazi za chini waanze kuchukua hatua
za awali kama walivyoanza kule Mkuranga,” amesema.
Chadema, kama ilivyo kwa vyama vingine vya upinzani hapa nchini,
vimekuwa vikikabiliwa na uhaba wa majengo ya ofisi pamoja na vitega
uchumi, vyama hivyo vimekuwa vikitegemea zaidi fedha za ruzuku ili
kujiendesha huku vile visivyo na ruzuku vikitegemea michango ya
wanachama na washirika wao.
Asilimia kubwa ya ofisi za vyama vya upinzani ni za kupanga, tofauti na
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kina majengo na ofisi karibu kila
Kijiji, Mtaa, Kata mpaka Taifa. Maeneo mengi ya ofisi hizo yanamilikiwa
na chama hicho tangu enzi za utawala chama kimoja.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment