TANGAZO 1
Mkali wa ‘Salome’ na mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema
katika ma-model wa video aliowahi kuwalipa fedha nyingi ni mpenzi wake
Zari.Alimtaja Zari alipoulizwa kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM na mtangazaji Lil Ommy aliyetaka kumjua ni model gani aliyewahi kumtoboa mfuko wake zaidi.
“Zari ndio mtu nilimlipa hela nyingi katika video ya Utanipenda,” alisema.
“Unajua hata kama ni family, ni mpenzi wangu lakini inapokuja kazi lazima iwe kazi japo kuwa nilichomlipa haikuwa thamani yake, japo alifanyia kidogo favor lakini nilimlipa zaidi ya milioni kumi. Ndio model ambaye nimewahi kutoa hela nyingi tokea nimeanza kufanya muzik,” aliongeza.
Bongo5
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment