TANGAZO 1
July 04 2016 maeneo ya Maweni-Kintiku Singida mabasi mawili ya kampuni ya City Boys yaligongana na kusababisha vifo vya watu 30 na majeruhi 54.
Tukio hilo
limekuwa ni moja ya matukio makubwa yaliyotokea mwaka huu ambalo
haliwezi kusahulika, mabasi mengine yaliyopata ajali Super Samy ambalo lilikuwa likitokea Shinyanga kwenda Mwanza baada ya kupinduka na kusababisha vifo vya watu 5 na majeruhi 13 na ajali nyingine ilitokea maeneo ya VETA Dakawa Dodoma july 1 na 2 mwaka huu.
Baada ya ajali kutokea Mamlaka ya usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA
iliyafungiwa baadhi ya makampuni ya mabasi kutoa huduma mpaka
watakapotimiza vigezo walivyowawekea, makampuni yaliyofungiwa ni pamoja
na kampuni ya mabasi city Boys.
Ripota wa millardayo.com na Ayotv amempata Meneja Mawasiliano wa SUMATRA David Mziray kuhusu kufunguliwa kwa baadhi ya mabasi yaliyokuwa yamefungiwa kutoa huduma…………….
>>>’Mabasi
nane na kampuni kadhaa tumeyafungulia baada ya kufungiwa kwa muda kwa
kusababisha ajali na madereva wao kukosa sifa lakini sasa yamefunguliwa
baada ya kukaguliwa magari yao na madereva wao kutimiza masharti na
mabasi ambayo hayajakidhii vigezo yamezuiliwa kutoa huduma’.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment