TANGAZO 1
September 15 2016 Chama cha wananchi CUF
kimekutana na waandishi wa habari Dodoma na kumtaka msajili wa vyama
vya siasa nchini asitumike kukiyumbisha chama hicho kwa madai baadhi ya
vyama vinatumia ofisi yakekuwavua uanachama ikiwa ni pamoja na madai ya
aliyekuwa mwenyekiti wao Profesa Ibrahim Lipumba kutaka kutaka kurudi katiaka nafasi hiyo.
Mwenyekiti wa CUF bungeni Riziki Mngwali amesema…’Baraza
kuu CUF liliwavua uanachama wanachama kadhaa akiwemo Prof Lipumba na
kuwaandikia barua, tunaunga mkono hatua hiyo ya kinidhamu‘
‘Lakini
pia tuna taarifa za Prof Lipumba kupeleka malalamiko yake kwa msajili
wa vyama vya siasa akijitangaza kuwa yeye ni M/kiti halali wa CUF‘ –Riziki Mngwali
‘Ifahamike
kuwa sisi CUF hatumtambui Prof Lipumba kuwa mwenyekiti wetu na kwasasa
chama kinaongozwa na chama taifa chini ya Julius Mtatiro‘ –Riziki Mngwali
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment