Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TETEMEKO LA JANA LALETA TAFSIRI HII KWA WAHAYA JUU YA UTAWALA MPYA

TANGAZO 1
Wahaya uamini watawala huja na bahati au balaa (mikosi)::
Ikiwa mtawala au Omukama kama anavyojulikana lugha yao akifuatiwa na ukame, nzige, majanga ya magonjwa huchukuliwa kama kiongozi mwenye mkosi au balaa kwa watu wake na enzi hizo walikuwa wanatambikia (okutelekelela) ili kuomba mizimu kupunguza ipunguze mbinyo baada ya kumchukia mtawala.
Kinyume chake ni mtawala (Omukama) anayekuja na mvua hufuatiwa na chakula tele (Omwelo) na watu hufurahi na kumuona mtawala aliyekuja na baraka. Mkapa angekuwa anaishi Kagera angepata shida sana baada ya ajari ya Mv Bukoba. Zilitungwa nyimbo na za kimila kulaani ajari (MV Bukoba ekitaliwa igamba).
Baada ya tetemeko la jana kutafuatiwa na imani za wanakagera kuchukua nafasi yake. Wanasema haijawahi kitokea tetemeko la namna ile katika historia ya mkoa huo. Watu wamekufa, majengo yameporomoka, barabara zimepasuka, majeruhi ni wengi. Imetonesha majanga ya Mv Bukoba, na ugonjwa wa Ukimwi vilivyourudisha nyuma mkoa huo kwa kiasi kikubwa. Swali ni je itamuunganisha 'mkulu'  anayechukuliwa kama mwenyeji wa mkoa huo kwani Chato ilitengwa toka mkoa wa Kagera.
By mpk
Source: JF
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top