Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

SUMBAWANGA: Mvua kubwa yaharibu nyumba 27 na kujeruhi watoto 2

TANGAZO 1





Mvua kubwa iliyonyesha ghafla ikiwa imeambatana na upepo mkali na mawe, katika kijiji cha Mtimbwa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, imesababisha nyumba zaidi ya 27 kuharibika vibaya, na watoto wawili wakijeruhiwa na mawe ya barafu yaliyokuwa yakianguka, huku mifugo ikiwa ni pamoja na Mbuzi wanane na kuku zaidi ya mia moja, wakifa kwa kupondwa na mawe hayo ya barafu na kusombwa na maji.

Chanzo: ITV TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top