TANGAZO 1
Muziki
ni hisia na kila mmoja anaamua kufanya kile anchojisikia bila kujali
wengine watatafsiri vipi, Hiyo ni sawa na alichokifanya Bongoflava icon Diamond Platnumz kwenye hitsong Salome ambayo amemshirikisa mtu mbaya Rayvanny kutoka WCB.Kundi la muziki “Sautisol” la nchini Kenya limetumia ukurasa wake wa Instagram kuyaelezea mahaba yao kwenye ngoma hiyo baada ya kutundika picha ambayo ni moja kati ya Scenes zilizoonekana kwenye Video hiyo y “Salome” ikiwa na maelezo yaliyosomeka:
Katika tafsiri ya Kiswahili : "Ni Bora Dunia ingejua kiswahili, maana hii ngoma ni matatizo… #salome @diamondplatnumz x @rayvanny #TraditionalVersion."
Huenda salome ikawa moja kati ya ngoma za kiswahili zenye ushawishi mkubwa siku za mbele na tusishangae kuona au kusikia imefanywa covers nyingi kulio ngoma yeyote ya Bongoflava.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment