TANGAZO 1
Rais Uhuru Kenyatta amekichoka chakula cha ikulu ndio maana aliamua
kujichanganya na Senator Mike Sonko kwenda gengeni kula ugali na nyama
choma.Sonko alimpeleka rais huyo kupata chakula cha usiku kwenye soko la Kenyatta. Aliongoza na waheshimiwa wengine, Sakaja, Madam Shebesh na Kariuki walianza kwa kutembelea soko hilo kuzungumza na wafanyabiashara.
Baadaye Sonko aliweka picha akiwa na waheshimiwa hao na kuandika: Together with President Uhuru Kenyatta, Hon Sakaja, Hon Madam Shebesh, Hon Kariuki we made a surprise stop at Kenyatta Market interacted with traders and later on my bestfriend and our President akasema anahisi njaa so I decided to buy lunch at one of the kiosks. Lazima tuinue biashara za watu.”TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment