Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

P-Square na Fally Ipupa Walitamani Kuwachukua Dancers wa Diamond.wasikie hapa wakifunguka

TANGAZO 1
Dancers wa P-Square pamoja na msanii mkubwa wa nchini Congo, Fally Ipupa walijaribu kumshawishi Diamond ili wafanye kazi ya pamoja na dancers wake.

Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz, alisema hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi wanayoifanya inakubalika.

“Tulikuwa tupo Nigeria tunafanya show, dancers wa P-Square wakataka kufanya kazi na sisi,” amesema. “Wakamfuta Diamond lakini Diamond akakataa kwa sababu walikuwa wanataka tujoin halafu tufanye show pamoja kitu ambacho hakiwezekani,” ameongeza.

“Pia tulikutana na Fally Ipupa, aliomba kufanya show na sisi lakini management imeshindwa kutuachia kwa sababu tuna kazi zetu binafsi.”TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top