Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ONA JINSI KUJAMIANA NA ROBOTI KUNAVYOSABABISHA KUPUNGUA KWA TENDO HILO BAINA YA BINADAMU

TANGAZO 1
Kushiriki ngono na mashine au roboti kunaweza kufanya binadamu wapunguze kufanya tendo hilo wao kwa wao ifikapo mwaka 2050, wanasayansi wameonya.
Mtaalam mmoja wa roboti amedai kuwa mapenzi na roboti yanaweza kuwa na uraibu na siku za mbele zaidi kupoteza kabisa ushiriki wa tendo hilo baina ya binadamu kwa binadamu.
Kama teknolojia zingine ambazo zimechukua kazi za binadamu, roboti wanaweza kupita uwezo wa wanaume, na kuwa wapenzi bora.
Akizungumza na Daily Star, Joel Snell, mtaalam wa roboti kutoka chuo cha Kirkwood cha Iowa, alisema: ‘ Mapenzi na roboti yanaweza kutengeneza uraibu. Roboti wa ngono watakuwa wakiwepo daima na hawawezi kusema hapana.’
Pamoja na kupatikana muda wote kwaajili ya tendo hilo, roboti wanaweza kuwa wajuzi zaidi katika mapenzi kuliko binadamu.
Snell aliongeza: Kwa sababu watakuwa wametengeneza utaratibu mahsusi, roboti wa ngono watakidhi kila hitaji la mtumiaji.’

Bongo5TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top