TANGAZO 1
Leo ni siku ya kuzaliwa ya staa wa muziki, Ommy Dimpoz ambapo
ametumia siku hiyo kutangaza ujio wa wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa
amemshirikisha AliKiba.Ommy Dimpoz akiwa na AliKiba katika maandalizi ya video ya wimbo huo
Muimbaji huyo ambaye aliwahi kumshirikisha AliKiba kwenye wimbo ‘Nai Nai’ ambao ulifanya vizuri sana, amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwa ajili ya kobalo hiyo.
“Happy birthday 2 me, #kajiandae cominG sooN na AliKiba,” aliandika Ommy Dimpoz kupitia instagram.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na video ya wimbo ‘Achia Body’ hajaweka wazi ni lini kazi hiyo itatoka huku akiacha shauku kubwa kwa mashabiki.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment