TANGAZO 1
Leo September 15 2016 kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, imemuhoji mtanzania Benjamini Fernandes mwenye miaka 23 anayefanya kazi kwenye taasisi ya Melinda & Bill Gates Foundation inayoendeshwa na tajiri namba moja duniani, Bill Gates ambaye
pia ni mwanzilishi wa kampuni ya microsoft na mbunifu mkuu wa
programu za kampuni ya Microsoft, kampuni ya programu yenye mafanikio
zaidi duniani.
Benjamini Fernandes
ameeleza namna ambavyo alijituma licha ya kuwa na historia mbaya ya
kwenye masomo hapa Tanzania na alipopata nafasi ya kwenda Marekani
kusoma alijituma zaidi na akawa anaongoza darasani ambapo baadaye
alifanikiwa kuwa mtu wa kwanza barani Afrika kushinda tuzo ya MBA/ World Summit.
>>>Nilisoma
Haven peace of academy hapa Kunduchi Dar ess salaam na nilivyokuwa
nagraduate nikawa wa mwisho darasani hata wazazi walivyokuwa wakienda
shuleni wanaambiwa huyu ni mototo wako mbona anafeli sana mnamfundisha
nini nyumbani;-Benjamin Fernandes
>>>Nilipata
nafasi moja kwenda nje kusoma waliniambia tunakupa semester moja kwenda
collage ukifaulu utaendelea na ukifanya vibaya utarudi…..Bili
Gates Foundation walikuja shuleni kutafuta watu wa kufanya kazi naye,
mimi nikaenda kuapply. Kulikua na CV za watu 70 zikachukuliwa CV 20
kwaajili ya interview, CV yangu haikuchaguliwa:–Benjamini Fernandes
>>>Mwalimu
alinishauri niende pale nikagonge mlango na niongee nao kuwa nataka
kuwaona kwa dakika 5 na nilifanya hivyo:-Benjamini Fernandes
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment