TANGAZO 1
KARIBU
tena jamvini mpenzi msomaji wangu wa makala za XXLove kwa ajili ya
kupata chakula cha ubongo ili uelimike na kudumisha uhusiano wako wa
kimapenzi na maisha yako ya kila siku.
Mada
yangu ya wiki mbili mfululizo zilizopita juu ya ulazima wa kulifanya
penzi lako kuwa hai (up date) iliibuka mjadala mkubwa. Wengi
walionipigia simu na kunitumia SMS walikiri kukosea katika vitu
vidogovidogo lakini pia waliwatupia lawama wenza wao.
Nilichowashauri
ni kwamba wafanye wanachokiamini kwa vitendo ili kulinda uhusiano wao
na kuwaachia wenzi wao wakijitathimini. Ipo siku wenzi wao nao
watajishtukia kuwa kuna kitu wanakosea. Siyo vema mmoja anapojisahau na
mwingine naye ajifanye amejisahau kwani wote mtatumbukia shimoni.
Baada
ya kusema hayo, turudi kwenye mada ya leo ambayo nitawazungumzia baadhi
ya wapenzi au wanandoa wenye tabia ya kulumbana, kupigana, kuchuniana
mara kwa mara hadi kufikia hatua ya kulala mzungu wa nne, kutengana
vitanda au hata vyumba vya kulala (kama Mungu amewabariki kuwa navyo).
Hebu
tujiulize, hivi inakuwaje wapenzi mnagombana na kuanza kutengeneza
mipaka ya kugawana vyumba au vitanda? Hivi mlioana ili mgawane vitu
hivyo? Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kama anavyosema Rais John Pombe
Magufuli, nami nasema kweli, kufanya hivyo si sahihi hata kidogo.
Hata
kama mmekwazana, si sahihi kugawana vitanda au vyumba kwani kwa kufanya
hivyo ni kutengeneza au kuhalalisha uchepukaji miongoni mwenu.
Jifunze
kuwa na hasira za muda. Hasira ambazo baada ya muda, utazifuta na
mwenzako atajua umezifuta na maisha yanaendelea kwa vicheko kama kawaida
na hata chakula cha usiku mnaendelea kulishana kama kawaida. Jamani
tukubaliane kuwa ndoa ni tamu.
Ila
kama mtashindwa kusomana na kujuana tabia zenu, basi mtaiona chungu
kama shubiri. Kikubwa ni kila mmoja kumjua mwenza wake hapendi nini na
anapenda nini. Lakini pia wapenzi au wanandoa mnapaswa kuvumiliana
kwenye shida na raha kama ambavyo mliapa.
Sasa
kwa nini mshindwe kuvumiliana kwa sababu ya misukosuko ya hapa na pale
ambayo inapita? Usikubali kumkimbia mpenzi wako au kuhama kitanda.
Kama
unaona umemkwaza au amekukwaza, basi jitahidi kufanya juu chini
kusawazisha mambo, kumfanya mwenzi wako awe na amani, upendo na furaha
kama mwanzo. Siku zote hakikisha uhusiano wako unakuwa wa amani na
furaha.
Tumia
nguvu na akili yako yote kumshawishi na kumridhisha mwenzako kuwa kile
ulichokifanya ni kosa na kwa kuwa unampenda, hauko tayari kumuudhi kwa
kurudia kosa kama hilo.
Mkiwa
na tabia ya kugawana vitanda au vyumba, mnaweza kujikuta mnashindwa
kujizuia baadhi ya mambo na yawezekana ikawa ni rahisi kwa kuchepuka kwa
sababu hali hiyo inatoa nafasi ya kutengeneza mazingira ya usaliti.
Haipendezi, mnadhani mnatoa picha gani kwa watoto wenu wa kizazi hiki
cha sasa ambao wanafahamu kila kitu kinachoendelea, tofauti na watoto wa
kizazi cha miaka ya nyuma? Ni matumaini yangu nimeeleweka na makala hii
utaitumia kama tiba ya tabia hiyo kama inakuhusu wewe au mwenza wako.
Tukutane wiki ijayo kwa mada nyingine murua.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment