Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Maneno ya Jeshi la Polisi kuhusu kumwachia Afande Sele

TANGAZO 1
Kama zilIkupita headline za msanii mkongwe wa Bongoflevani Afande Sele kukamatwa na Jeshi la Polisi huko Morogoro August 31 2016 kwa kosa la  kuhamasisha watu kufanya mandamano ya ukuta September mosi, Leo September 3 2016 Afande Sele ameachiwa kwa dhamana Polisi wametoa kauli hii kuhusu kuachia kwake.
Millardayo.com na Ayotv inakusogezea Audio ya maneno ya Polisi Morogoro walichokisema kuhusu kuachiwa kwake huko.
>>>” Amepewa dhamana kwahiyo yupo nje kwa dhamana na uchunguzi unandelea tunazidi kukusanya ushahidi, na tutakapokamilisha ushahidi tutamfikisha mahakamaniTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top