Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Maandamano dhidi ya rais Kabila yafanyika DRC

TANGAZO 1
Waandamanaji wameweka vizuizi na kuchoma magari katika mji mkuu wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,baada ya maafisa wa polisi kuwazuia kuandamana.
Wanamtaka rais Joseph Kabila ajiuzulu baada ya kukamilika kwa muhula wake mnamo mwezi Disemba tarehe 20 kulingana na mwandishi wa BBC Poly Muzalia.
Chombo cha habari cha reuters kiliwanukuu mashahidi wakisema kuwa maafisa wa polisi walifyatua risasi kuwatawanya waandamanaji.
Upinzani unahofia kwamba bwana Kabila ana mpango wa kuchelewesha uchaguzi wa urais unaotarajiwa mwezi Novemba ili kusalia madarakani.
Maafisa wa uchaguzi na serikali wanasema kuwa uchaguzi huo utaahirishwa kutokana na matatizo ya mipango katika taifa hilo la Afrika ya kati.
Taifa la DRC halijawahi kuwa na ukabidhi wa mamlaka ulio huru tangu uhuru wake zaidi ya miaka 45 iliopita.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright 2025 SUKARI GURU | Designed By Code Nirvana
Back To Top