Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Je wajua kuna aina zaidi ya moja ya twiga duniani?

TANGAZO 1


Kwa miaka zaidi ya 250 iliyopita, iliaminika kuwa kuna jamii moja tu ya twiga. Lakini uchunguzi uliofanywa na wataalamu umebatilisha mtazamo huo baada ya kubainika kuwa kuna jamii aina nne za twiga.
Ugunduzi huo ulichapishwa katika jarida la  Current Biology la wiki hii likihimiza uchunguzi wa zaidi katika jamii hizo nne za twiga zilizogunduliwa kwa mujibu wa Giraffe Conservation Foundation ambao walishiriki kwenye uchuguzi huo.
Hadi sasa, mnyama huyo mrefu zaidi duniani alikuwa akiweka katika jamii (species) inayofahamika kitaalamu kama Giraffa camelopardalis.
Ugunduzi mpya unawaweka katika jamii nne ambazo ni
  1. Northern giraffe
  2. Southern giraffe
  3. Reticulated giraffe na
  4. Masai giraffe.
Mchanganuo katika maumbile (genetic) unaonyesha kuwa kuna jamii nne tofauti za twiga ambazo huwa hazijamiiani kwa sababu ni tofauti na ndiyo sababu zinaelezwa kuwa ni tofauti.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top