TANGAZO 1
Mahakama yatupilia mbali mapingamizi manne yaliyowekwa na Mawakili wa shirika la nyumba la taifa(NHC) Katika kesi ya*
Mahakama
kuu kitengo cha ardhi imetupilia mbali mapingamizi manne ya kisheria
yaliyowekwa na mawakili wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC) likiongozwa
na wakili sekule.
Mahakama
imeshawishika na hoja zilizojibiwa na jopo la mawakili likiongozwa na
*Peter Kibatala* Kuwa hoja hizo hazina mashiko kisheria.
Judge
wa Mahakama Kuu ameshawishika na kesi mbalimbali ambazo zimetumiwa
kushawishi mahakama isizitilie maanani MAPINGAMIZI Hayo.
Imesema vifungu ni sahihi na njia iliyotumiwa na mawakili wakiongozwa na *PETER KIBATALA* ni sahihi
Pia
Kuhusu Mkataba imesema hilo suala linabishaniwa na linahitaji ushahidi
na Mahakama haiwezi kulichukulia juu kama NHC wanavyotaka
TENA Kuhusu
madai ya NHC kuwa Mkataba wa umiliki wa pamoja(JOINT VENTURE) wa Jengo
kati yake na Mbowe kumalizika 2015; mahakama imesema hilo suala
linabishaniwa na linahitaji ushahidi na Mahakama haiwezi kulichukulia
juu kama NHC wanavyotaka
Judge amesema ameshindwa kushawishika na hoja na hata sheria ambazo mawakili wa shirika la nyumba wamezitumia.
Kesi hiyo itaendele tarehe 27/9/2016 katika mahakama hiyo kwa kusikiliza
maombi ambayo Mawakili wanomuwakilisha Mbowe Hotels Ltd
Ambayo mojawapo ni kurudisha vitu ambavyo NHC na Dalali wamevitoa sehemu yenye mgogoro kama ambavyo vilikutwa!.
Reporter.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment